Please Could You Be Honesty to Us?

Huyu dogo siku hizi naona kahamia Birmingham....

Kama sivyo basi atakuwa mtaalamu wa kugoogle....
Hahahshhah lol
naona siku hizi ni
Mtaalam sana mmhhh
itabidi niingie kwenye darasa lake..
Sijui Pre Form One anayofundisha inaanzalini??
 
Ulipokuwa unapewa ada ukalipe shule ulikuwa unaenda kula mishikaki ya kwenye cheleo pale Mwenge stendi matokeo yake unayaona sasa. Huko mbona kwa wachovu huko wanakaa akina Klorokwin na Uporoto

Hii Fellow tablet calling itakutokea puani..... ngoja nimwamshe afungue famasi yake.
 
hahahaaaaaaaaa.....

Mimi wasiwasi wangu ni hizi PhD mbili, ya Lizzy na ya MJ1; kama zinakaribia kutuweka nusu uchi humu

sasa nikisema napenda awe anavuta ganja watanielewa kweli??

Hahahhaha.....come ooon..we wouldn't do that to you!!

MJ1 asante mpenzi...ndo niko page ya kwanza ngoja nikazane kusoma nikikuta kuna ambae anataka kama mi nilivyo namPM fasta kama ''bado yupo yupo kwanza'' tunabadilisha fasta!!!
 
Unataka Kungu Fu Panda eheeee:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Halafu huyu Babu yako naye wenzake wakati wanaenda shule yeye alikuwa anaenda kuangua maembe.

Hahahahahahahah lol
kungu fu panda tena dahhhh

Nway babu mtaalum wa hesabu huyo..
Anakuhesabia maembe mpaka na ma koko..
Miaka 90 sasa tangu amalize hiyo kazi lakini
we muulize alitengua mangapi.. utashanga lol
 
Hiyo ya msosi mi hainipi shida..... mama asipojua kupika, mi mwenyewe naingia jikoni kumfundisha, manake nami kwa kupika nimejaliwa kipaji. Isitoshe msosi si sehemu ya hobby yangu, nikishapiga bia zangu mbili tatu, wala sijishughulishi na mamsosi.
 
Hahahshhah lol
naona siku hizi ni
Mtaalam sana mmhhh
itabidi niingie kwenye darasa lake..
Sijui Pre Form One anayofundisha inaanzalini??
Nimeanzisha Tuition ya Kiingereza mje mjiandikishe usisahau kumleta Babu wa Kitandani naye
Hii Fellow tablet calling itakutokea puani..... ngoja nimwamshe afungue famasi yake.
Nimeona Klorokwin za kichina
 
Kaka umeshamaliza yote na kufikia hapa naomba Thread ifungwe maana umegusa kona zote muhimu yaani wewe kweli ni kona kali mwanamke akiwa na hivyo unavyosema wanaume hatutakuwa na magomvi na wao ni suala la kuelewana na kuelimishana na siyo kuhukumiana lakini tatizo wanajificha na kujidai miamba mpaka wafumwe!
 
Ni kweli ngoja nirudi kwakuwa:
NAJUA kwamba mimi ni mwerevu na mwenye akili,kwa sababu nafahamu kwamba HAKUNA NINACHOFAHAMU"

dah kiporo cha makande babu usikipimie...nikubakishie...badaye ukija mpango kamili kiporo cha makande na tusker ya moto dah:dance::dance:dah sipatii picha lazima uxplode apo!!

imekuwaje tena asenga kasepa?
hebu njoo fb tuongee kidogo (huyu max huyu...hivi kwaq nini aliitoa chatroom?)

ha! ha!
babu acha izo bwana...we ni mwelevu kwa sababu unajua kama wajua na ndo mana unamjua mwongo mwenzako!!

Orayt...twende tukachat fesibuku bana...

teamo missssssssssssssssssss uuuuuuuuu!!!!
msalimie rr ukimaliza futa!

Sasa wewe bacha unakaa uswahilini utawapata wapi wa namna hiyo nimeishakwambia uhame huko lakini hautaki. Utaishia ku-date na mama muuza kachaso.

Huyu dogo siku hizi naona kahamia Birmingham....

Kama sivyo basi atakuwa mtaalamu wa kugoogle....

Unataka Kungu Fu Panda eheeee:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Halafu huyu Babu yako naye wenzake wakati wanaenda shule yeye alikuwa anaenda kuangua maembe.

Ulipokuwa unapewa ada ukalipe shule ulikuwa unaenda kula mishikaki ya kwenye cheleo pale Mwenge stendi matokeo yake unayaona sasa. Huko mbona kwa wachovu huko wanakaa akina Klorokwin na Uporoto

Aisee!!! Kitu huwa naisikia chupa tatu kama vile umekunywa kreti tatu za Safari Lager

Hahahshhah lol
naona siku hizi ni
Mtaalam sana mmhhh
itabidi niingie kwenye darasa lake..
Sijui Pre Form One anayofundisha inaanzalini??

Hii Fellow tablet calling itakutokea puani..... ngoja nimwamshe afungue famasi yake.

Hahahahahahahah lol
kungu fu panda tena dahhhh

Nway babu mtaalum wa hesabu huyo..
Anakuhesabia maembe mpaka na ma koko..
Miaka 90 sasa tangu amalize hiyo kazi lakini
we muulize alitengua mangapi.. utashanga lol

Nimeanzisha Tuition ya Kiingereza mje mjiandikishe usisahau kumleta Babu wa Kitandani naye

Nimeona Klorokwin za kichina

Mkimaliza mnachodiscuss hapa nitaomba mkichanganue ndani ya mantiki ya thread hii.
 
sipendi ngojera. umesema umesikika na umeeleweka. unaendelea kuongea toka posta mpaka kiluvya...doh! kesi moja tuko wawili kaah tuko mahakama ya O'campo. naweza kushuka kwenye gari nikuache uendelee zako na ngonjera zako!
 
Hahahhaha.....come ooon..we wouldn't do that to you!!

MJ1 asante mpenzi...ndo niko page ya kwanza ngoja nikazane kusoma nikikuta kuna ambae anataka kama mi nilivyo namPM fasta kama ''bado yupo yupo kwanza'' tunabadilisha fasta!!!

Lizzy umenichekesha sana mamii haya pengine bahati yako itajifungua leao lol...........
 
MJ1, ndio maana nimesema "mapema", maana ukibaki na taarifa hizi, then unakuja kuniambia miezi kadhaa huko kwa kweli nitakuwa na mwaswali ambayo mwenye majibu ni wewe tu....! Nieleweke tu kwamba nipatapo taarifa hizi kupitia kwako hautanifanya mimi nianza kumvimbia rafiki yangu.... bali itanijengea imani juu yako kuwa unanishirikisha yote yakuhusuyo..... Hata baadaye ikitokea kubwa zaidi juu ya hilo, nami nitakuwa na ujasiri wa kuungana nawe bila dukuduku....!
 
sipendi ngojera. umesema umesikika na umeeleweka. unaendelea kuongea toka posta mpaka kiluvya...doh! kesi moja tuko wawili kaah tuko mahakama ya O'campo. naweza kushuka kwenye gari nikuache uendelee zako na ngonjera zako!

......manumbu aksante sana. Duh yaani hii nilikuwa ninaisubiria kwa hamu very unfortunately huwa sina maelezo ya kuitolea zaidi ya kukiri udhaifu..pengine kama kuna mwanasaikolojia angetueleza saikolojia ya mwanamke maana duh......wanawake wengi sana tuna hii kitu aisee.yaani umekosewa, umeombwa msamaha but still bado utalisema asubuhi, mchana na jioni na bado kesho utalikumbushia na kisha tunaliweka bank tukisubiri tena tuchokozwe mwe!!
 
Aksante Konakali nadhani sikuwa nimekupata vizuri pale mwanzo. Aksante sana kwa mtazamo wako juu ya ukweli na trust.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…