D Dr.don Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Mar 28, 2012 #1 Wakuu naomba msaada kuhusu shule ya bihawana sec skul. Inapatikana wapi? Mkoa,wilaya, kata na mtaa? Je ipo near na makinda? Sare wanazo vaa? Walimu wapo lakini? Shukrani!
Wakuu naomba msaada kuhusu shule ya bihawana sec skul. Inapatikana wapi? Mkoa,wilaya, kata na mtaa? Je ipo near na makinda? Sare wanazo vaa? Walimu wapo lakini? Shukrani!
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,628 Mar 28, 2012 #2 ume sechi ukashindwa kuipata? au? haya google sechi utaiona then wapigie simu labda watakueleza zaidi? haya maswali yako kama hilo la mwisho ni nini kimekufanya uulize? haya nimeona contacts za shule online wapigie wakujibu.
ume sechi ukashindwa kuipata? au? haya google sechi utaiona then wapigie simu labda watakueleza zaidi? haya maswali yako kama hilo la mwisho ni nini kimekufanya uulize? haya nimeona contacts za shule online wapigie wakujibu.
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,319 Mar 28, 2012 #3 Inapatikana Dodoma, njia ya kwenda Mazengo Sec (st John's univ), Ni kama km34 kutoka Dodoma Mjini. Kama unaenda kijiji cha Mpunguzi unaelekea kulia.
Inapatikana Dodoma, njia ya kwenda Mazengo Sec (st John's univ), Ni kama km34 kutoka Dodoma Mjini. Kama unaenda kijiji cha Mpunguzi unaelekea kulia.
D Dr.don Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Mar 28, 2012 Thread starter #4 mzurimie said: ume sechi ukashindwa kuipata? au? haya google sechi utaiona then wapigie simu labda watakueleza zaidi? haya maswali yako kama hilo la mwisho ni nini kimekufanya uulize? haya nimeona contacts za shule online wapigie wakujibu. Click to expand... usilolijua, nikama usiku wa giza kaka! Na njiti ya kiberiti pekee haitoshi kutoa mwanga ktk giza nene.mjomba".|
mzurimie said: ume sechi ukashindwa kuipata? au? haya google sechi utaiona then wapigie simu labda watakueleza zaidi? haya maswali yako kama hilo la mwisho ni nini kimekufanya uulize? haya nimeona contacts za shule online wapigie wakujibu. Click to expand... usilolijua, nikama usiku wa giza kaka! Na njiti ya kiberiti pekee haitoshi kutoa mwanga ktk giza nene.mjomba".|
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,899 Reaction score 97,912 Mar 28, 2012 #5 Dr.don said: Wakuu naomba msaada kuhusu shule ya bihawana sec skul. Inapatikana wapi? Mkoa,wilaya, kata na mtaa? Je ipo near na makinda? Sare wanazo vaa? Walimu wapo lakini? Shukrani! Click to expand... Sihijui hii Shule ya Bihawa school? Au ile iliyopo karibia na barabara ya morogoro road? Hongera kwa kufaulu.
Dr.don said: Wakuu naomba msaada kuhusu shule ya bihawana sec skul. Inapatikana wapi? Mkoa,wilaya, kata na mtaa? Je ipo near na makinda? Sare wanazo vaa? Walimu wapo lakini? Shukrani! Click to expand... Sihijui hii Shule ya Bihawa school? Au ile iliyopo karibia na barabara ya morogoro road? Hongera kwa kufaulu.
Brown ad JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 345 Reaction score 205 Mar 28, 2012 #6 Hongera sana ukasome salama
D Dr.don Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Mar 28, 2012 Thread starter #7 Brown ad said: Hongera sana ukasome salama Click to expand... sio kila, auliziaye shule ni mwanafunzi!! Wengine ni wazazi bwana wewe vipi'??
Brown ad said: Hongera sana ukasome salama Click to expand... sio kila, auliziaye shule ni mwanafunzi!! Wengine ni wazazi bwana wewe vipi'??