Please CHADEMA, walk the talk.

LOGIC[emoji106]
 
Muambie kwanza Nape haya maneno wananchi wanataka kuona bunge live kwa kuwa TBC inaendeshwa kwa kodi yao na wabunge wako bungeni kwa kura zao. Bunge live kwa manufaa ya nchi.
Wananchi wameikabidhi hazina kwa serikali ili matumizi yake yaendane na vipaumbele vya taifa.

Vipaumbele ni pamoja na kuchanganua ni kaya ngapi zina Television nchini na katika kaya zenye television, ni watu wangapi huwa vinaangalia bunge live.

Kama CHADEMA wamefikia hitimisho la kutokuonyesha live mkutano wao wa kumchagua Katibu Mkuu na kumtambulisha kwa Watanzania, kwa nini udhani kwa serikali iwe tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…