nawasalimu wote !!! mimi ni mgeni kwenye ANDROID devices , kuna simu nimetumiwa kutoka U.S.A
inaitwa HUAWE U8680 ni device zinazosambazwa na kampuni ya simu ya T-mobile , sasa imekuja na ginjerbread v 2.3.6
nimejaribu ku update normal using software yake inasema current up to date . nime google custom rom bila mafanikio
,nimejaribu njia kadha za ku root bila mafanikio . naombeni mnisaidie jinsi ya ku update hata ifike ics 4.0.1 .
nimelowea kwenye IOS
msaada
msaada