taekwondo
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 131
- 244
Habari wandugu?
Poleni na shughuli za ujenzi wa Taifa..Kwa wale wapenzi wa kurefresh mind kwa kucheza Ps 4 or Ps 5 games,Tushirikishane game nzuri ulizocheza,Binafsi napenda zaidi game za mission na hii ni list yangu ya game nilizofanikiwa kucheza
1.GOD OF WAR
2.LAST OF US PART 1
3.CALL OF DUTY(INFINITE WARFARE)
4.CALL OF DUTY (MODERN WARFARE)
5.BATTLEFIELD 4
6.UNCHARTED (THIEF END)
7.RED DEAD REDEMDTION
8.Ghost RECON (WILDLAND)
9.FAR CRY 3
10.SHADOW OF THE TOMB RAIDER
Mnakaribishwa kushare zenu.....