Playstation 2 via usb

Playstation 2 via usb

bileduke

Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
27
Reaction score
1
Hey people niaje pande hiz i'm coming ki hivyo yani,
Nimekuwa natumia mda mrefu ps 2 games ila kutokana na tecknologia inavyokuwa nimekuja kufaham kuwa kuna matumizi ya usb flash kuhifadh games na kuzicheza katika ps2

Hivyo nimekuwa interesting kufaham hayo maujanja kama huna member ambaye anafaham maujuz haya naomba aweze kutuelimisha na kujua jins ya kufanya hayo kwan dics zimekuwa tatizo sana hata kwa usalama wa kifaa changu.
 
Vitu vingine unauliza gugo tu utapata kila kitu
 
Back
Top Bottom