playstation 2 controller pads zinauzwa kwa bei ya kutupa

playstation 2 controller pads zinauzwa kwa bei ya kutupa

NAPSTAR

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
767
Reaction score
12
nauza ps2 controller pad kwa tsh.30000/= each kwa anaeitaka anicontact through 0718164448
 
bado kuna watu wana PS2 :confused2:
 
hiyo si bei ya kutupa maana wireless kwa 20000 pale Semira elecronics unapata tena originali kabsaaaa so kama upunguze hivi.
 
Back
Top Bottom