Naona zile picha za tindikali zimekuogopesha kweli! Lol....meseji senti.
Watu wengi huwa hawatathmini madhara ya kile wanachokitenda. Ndio maana majuto huwa ni mjukuu badala ya mtoto!
Kaazi kweli kweli.Watu wana ujasiriamwili wa hali ya juu..Kuna jirani yangu nilimwambia mimi sio mtu wa kuchafua hekalu langu akanijibu:''forget about fidelity and all that ****,the motto is do not get caught''.Ana mke na watoto watano.
Watu wana hatari kweli. . .alitembezewa kichapo ehhhh?Kikweli watu huwa hatuliifikirii hilo, kuna best yangu alikuwa anatembea na mume wa mtu wapo nyumba moja ya kupanga, kuna sku mke alifuma meseji,akaiba namba usiku akatoka nje kupiga ile namba na yule shost yangu pia alikuwa uko uko nje akapokea..... loooh kilichofuata best akutoka ndani wiki.
hmwatu wengine wamebanga....khaaaWatu wana ujasiriamwili wa hali ya juu..Kuna jirani yangu nilimwambia mimi sio mtu wa kuchafua hekalu langu akanijibu:''forget about fidelity and all that ****,the motto is do not get caught''.Ana mke na watoto watano.
kwa kweli sasa hivi cheating imepamba moto.
Mke wa mtu anacheat hadi anapata ujauzito, si ufa.la huu??
...lakini sio wakati wote CHEATING ni mbaya...unaweza ukashangaa imeimarisha mahusiano yenu.
lakini pia ni lazima tujiulize kwa nini CHEATING inakuwepo?
mm kwa ujumla naweza sema cheating ni matokeo ya kutokuridhika FULLY na partner ulie nae...kama kweli mnapendana na mnafurahia uhusiano wenu,kwa nn niende pembeni kutafta raha ingine ya dk 5?
nitacheat maana nahisi kuna kitu extra nje ya partner wangu!
so kiukweli watu hawaogopi matokeo ya kudanganya...wanachotaka ni kuridhisha nafsi zao japo kwa muda mfupi!
Basi wawe wanafikiria na kujiandaa kuridhisha nafsi za wenzao pale watakapokamatwa na kushikiwa kisu au panga.
Na wewe usieridhika na mwenzi wako siuhamie huko unakoridhishwa?