Usinikumbushe enzi zile tulikuwa tunawapigia Vodacom kuwaomba watutumie settings za internet, wakituuliza ni simu gani tunatumia ukiwaambia Motorora l6 au nyingine wanakwambia simu yako haina uwezo wa internet lakini ukijaza manually settings za internet zinaingia na inafanya kazi vizuri tofauti na zile settings za WAP ambazo kulikuwa na limit ya kudownload kitu kisichozidi 300kb