devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 266
- 378
Hahahahaa..PLATNUM NA BAYPORT
sio bank za kukopa ni matapeli bora ufe na njaa kuliko hawa wazandiki .....wafutiwe leseni matapeli wakubwa hawa
Eeeh atueleze ukweli tupige hesabu hapaHahahahaa..
Mkuu, kwani ulikopa ngapi, kwa riba gani, na umekatwa ngapi hadi sasa?
Hayo makato kwanini usiwasiliane na Mwajiri wako asitishe??Ndugu wanaJF, Mim ni mwalimu nilipata shida ya dharura mwaka 2014 nikakopa mkopo wa chap chap hapa Platnum lakini mwisho wa kulipa ulikuwa ni mwaka 2019. Nashangaa hadi leo wananikata deni, nimejaribu kufuatilia ofisi zao makao makuu hakuna msaada nataka niwashitaki
Hata hivyo ningeshauri hawa Bayport na Platnum wakaguliwe ni matapeli wanaongezea watu madeni ya ajabu na hata ukitaka kusitisha mkopo hawakubali ni wasumbufu.
PLATNUM NA BAYPORT siyo bank za kukopa ni matapeli bora ufe na njaa kuliko hawa wazandiki. Wafutiwe leseni matapeli wakubwa hawa.
Pole sana kwa maumivu unayopitia. Kwanza nikuambie ukweli, hizo taasisi siyo za kitapeli kama unavyodhani. Ni taasisi zilizo sajiliwa kihalali kabisa kuendesha shughuli za kifedha zikiwemo hizo za kukopesha! Zina leseni za kuendesha hizo biashara, na zinalipa kodi ya serikali.Ndugu wanaJF, Mim ni mwalimu nilipata shida ya dharura mwaka 2014 nikakopa mkopo wa chap chap hapa Platnum lakini mwisho wa kulipa ulikuwa ni mwaka 2019. Nashangaa hadi leo wananikata deni, nimejaribu kufuatilia ofisi zao makao makuu hakuna msaada nataka niwashitaki
Hata hivyo ningeshauri hawa Bayport na Platnum wakaguliwe ni matapeli wanaongezea watu madeni ya ajabu na hata ukitaka kusitisha mkopo hawakubali ni wasumbufu.
PLATNUM NA BAYPORT siyo bank za kukopa ni matapeli bora ufe na njaa kuliko hawa wazandiki. Wafutiwe leseni matapeli wakubwa hawa.
Pole mwalimu kama kawaida yenu mnapigwa na CWT, CCM, Bayport, Credit, Faidika sasa na Platinum, na bado mnashangilia.Ndugu wanaJF, Mim ni mwalimu nilipata shida ya dharura mwaka 2014 nikakopa mkopo wa chap chap hapa Platnum lakini mwisho wa kulipa ulikuwa ni mwaka 2019. Nashangaa hadi leo wananikata deni, nimejaribu kufuatilia ofisi zao makao makuu hakuna msaada nataka niwashitaki
Hata hivyo ningeshauri hawa Bayport na Platnum wakaguliwe ni matapeli wanaongezea watu madeni ya ajabu na hata ukitaka kusitisha mkopo hawakubali ni wasumbufu.
PLATNUM NA BAYPORT siyo bank za kukopa ni matapeli bora ufe na njaa kuliko hawa wazandiki. Wafutiwe leseni matapeli wakubwa hawa.
Miradi ya kuumiza watumishi wa umma.( Walimu)Ndugu wanaJF, Mim ni mwalimu nilipata shida ya dharura mwaka 2014 nikakopa mkopo wa chap chap hapa Platnum lakini mwisho wa kulipa ulikuwa ni mwaka 2019. Nashangaa hadi leo wananikata deni, nimejaribu kufuatilia ofisi zao makao makuu hakuna msaada nataka niwashitaki
Hata hivyo ningeshauri hawa Bayport na Platnum wakaguliwe ni matapeli wanaongezea watu madeni ya ajabu na hata ukitaka kusitisha mkopo hawakubali ni wasumbufu.
PLATNUM NA BAYPORT siyo bank za kukopa ni matapeli bora ufe na njaa kuliko hawa wazandiki. Wafutiwe leseni matapeli wakubwa hawa.
Umesahau cwtPole mwalimu kama kawaida yenu mnapigwa na CCM, Bayport, Credit, Faidika sasa na Platinum, na bado mnashangilia.
Mkuu unachoongea ni sahihi, mwezi Jana nilipata shida ya 2M hivyo ikabidi nipite Ofisi ya faidika ili nikope kiasi tajwa,kilichonishangaza ni kuwa nilipewa fomu ya mkopo ni saini harafu niwaache maafisa mkopo wakijaza taarifa za mikopo,mfano kiasi nilichochukua na makato,nilishangaa sana,hapa ndo watu wanapopigwa wakikutana na maafisa wahuni,imagine umesaini fomu ukaondoka na kumuacha afisa mikopo akijaza taarifa za mkopo huoni kuwa anaweze jaza kiasi chochote anachotaka na ukitaka kumpeleka mahakamani lazima akushinde maana ulisaini mwenyewe bila kuona kilichojazwa.Usipoteze muda kuja kulalamika huku mitandaoni. Chukua mkataba wako na hao BYPORT/PLATINUM nenda nao kwa mawakili wape maelekezo yako halafu waachie waupitie kifungu kwa kifungu huo mkataba kati yako na hizo kampuni. Kama wakiona jamaa wanakuibia basi unawauzia kesi unaingia nao mkataba nao unasubiri mpunga. Siku hizi mawakili wapo wengi sana wanasubiri watu waliodhulumiwa kama nyie ili wawasaidie mpate haki zenu na wao wapate chochote kitu. Wewe unalia lia huku mitandaoni wakati unaweza kukuta una mamilioni yanakusubiri kutokana na uonevu wa hizo kampuni.
Lakini angalizo kwa mleta uzi wengi wenu nimeona huwa mnasaini hiyo mikataba kizembe bila hata kuisoma kipengele kwa kipengele kwa sababu mna shida na mnataka pesa haraka haraka basi manaanguka tu saini. Hizo kampuni hakuna haja ya kuzifutia leseni ila wakipatikana watu wawili au watatu wakadai haki zao mahakamani na wakashinda wakalipwa mamilioni lazima watajirekebisha tu.