Platnum credit/bayport watapeliwa mamilion | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Platnum credit/bayport watapeliwa mamilion

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjenda Chilo, Jun 24, 2012.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Wametokea matapeli wamewaingilia hawa jamaa watoa mikopo ya chapchap na wakiwalenga walimu na kuwalamba mainterest ya ajabu.

  Matapeli hawa hutafuta salary sleep za walimu hizi hupatikana hazina na kwa waajiri husika halafu jamaa wanafogi mpaka wanafungua eti acount wanachukua mkopo. From no where mwalimu akienda kuchukua mshahara anakuta anadaiwa wkt hakukopa.

  Kaka yangu mwezi uliopita rafiki yake mwezi huu kapigwa, of coz mwisho wa siku hawa wakopeshaji ndo inakula kwao.

  Hivi yale mainterest makubwa ndo kwa ajili ya hizi risk? ila ni wazi huu ni mtandao toka kwa wafanyakazi wa hizo kampuni nahisi inawezekana na huko hazina kuna watu wanakula deal la kutoa salary slips.

  Aibu kuwasumbua walimu jamani.

  kamshahara kenyewe kakuiba kako wapi?
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
   
 3. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2013
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  platnam credit wamemliza jamaa yangu, kuliitajika mil. 2 tu za kufanya biashara jamaa akakopa kwenye karatas yake hawakuweka interest kiasi gani, baada ya sarary slip kuja wameandika mil 6, kushutuka kaenda kuomba amalize mkopo wakataa eti amalize mwaka baada ya mwaka na miezi mitatatu akomba tena wakamuandikia mahesabu yafuatayo.interest 2,310,534.54 out standing 2,116,144.28 chini ya barua kuna director joseph warioba salva rweyemamu na elias samwel. sijui ni kweli hawa ni wakrugenzi?
   
 4. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2013
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  hivi kweli jaj Josef Warioba na salva rweyemam ni wakrugenzi.
   
Loading...