Platinum Annex Area C Dodoma,huu wizi hauvumiliki bei ya soda sawa na bia,

Ungeenda kibanda umiza mkuu jero tu unacheki zako game.... na mzuka wa kelele za pale kama upo etihad stadium
 
Wasalamu nikiende kwenye point.Tuna walinda usalama wetu nikimaanisha askari wote, polisi,jeshi, askari game,magereza nk.Baadhi wamekuwa wakipata madhara makubwa ikiwemo vifo wanapotekeleza majukumu ya kikazi mfano kulinda amani,kupambana na wahalifu,majambazi,majangiri,waasi nk asilimia kubwa wengi wao huwa kati ya miaka 20 hadi 45 sababu ni umri wa kuweza kupambana na mikikimiki ya purukushani.Kumbuka wengi huacha wategemezi wakiwemo wajane na watoto wakiwa bado wanauhitaji wa matunzo toka kwa askari alieuwawa kazini.Ombi au pendekezi mbali na wategemezi kurithi stahiki za marehemu wangepewa haki ziada zingine Mfano kuendelezwa kielimu hadi ngazi ifaayo,huduma za matibabu bure nk.Mfano wategemezi hao wajane na watoto wanapewa kadi maalumu za utambuzi zenye data base kuwawezesha kupata huduma hizo za msingi hadi watakapoweza kusimama wenyewe, hii inakuwa kama ni ukumbusho au thawabu fulani kuwaenzi wapiganaji wetu.Hata wafiwa wanaona kweli wapendwa wao wametoa uhai wao kwa ajili ya taifa japo stahiki ziada hizo haziwezi lingana na thamani ya uhai wao.TUWAENZI WALINDA USALAMA WETU.
Kama mfuko hauruhusu sio lazima kwenda huko MBONA kwa hela hio unagonga Pepsi uswazi na chenji inabaki.Ni aina ya control unakuwa na wateja wachache wa three in one
Hao askari ndio wanyanyasaji wakubwa wa raia
 
Wamefanya ivyo ili kupunguza wasumbufu wasumbufu, wewe mwanaume unatembea na buku mbili. Izo pesa nyingine ulimuachia mke wako au? Maana wengi wakitoka mke anakwambia hakuna kutoka na pesa, akiwa na wasiwasi utatumia ovyo pesa
 
Back
Top Bottom