Plastic timber walksways bridge

Amos Mtatina

Member
Joined
Jun 5, 2021
Posts
50
Reaction score
43
bridge and walks ways made out of recycled plastic timber. The projects has brought an amaizing and incredible look, free from several maintainance costs, free from termites, free from rusts and it is also environmental friendly.
For any inquiry please contact
Whatsapp: +255 757 671 874
Call& sms : +255 676 515 441
Email: amtatina@ecoact.co.tz
 
No photograph my friend, no price mon ami! No location rafiki yangu, why?
 
Kwa kweli zinapendeza sana hasa hizo zenye rangi nyeusi hapo.
 
Harafu mbona unapenda kutumia kingereza Wakati jf users 99.9 % ni wajuvi wa lugha ya kiswahili?
 
Asant kwa ushahuri, siku nyingine tatumia kiswahili
Huwa nakufatilia post zako ,Kama wewe ndo marketing officer Basi hufai kabisa,watu wa biashara hujitahidi Hadi kujua lugha za wazawa kwa lengo la kupata wateja, wewe unatuletea kingereza chako,uskute hao ulio walenga Wala si wanunuzi Ila ambao umetudharau ndo wateja wako.

Badilika Sana hata huko offisini kwako usipende kutumia huto tu vingereza twako ili tu uonekane wewe Ni mjuvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…