Habari wadau?
ninahitaji msaada kwa mtu anayejuwa mahali au mtu wake wa karibu anayeweza kuniprintia sign board ya prastic. size ni 30cmx50cm kwa muonekano inazidi kidogo kwa A4 size.
nina shida nazo kama 10 pcs tu
Call this dude yupo kariakoo 0713485033 pakol sign writeHabari wadau?vninahitaji msaada kwa mtu anayejuwa mahali au mtu wake wa karibu anayeweza kuniprintia sign board ya prastic. size ni 30cmx50cm kwa muonekano inazidi kidogo kwa A4 size.
Nina shida nazo kama 10 pcs tu.