Plastic poles zinauzwa

Plastic poles zinauzwa

Amos Mtatina

Member
Joined
Jun 5, 2021
Posts
50
Reaction score
43
Here some EcoActs plastic poles 3.3inch x feet 8 cost 24,500, which are suitable for farm fencing making, gardens making and road signs, our poles they do not rot, terminate free, long lasting, strong and durable,

More info contact through 0757671874, 0676515441
Email amtatina@ecoact.co.tz

IMG_20211102_094639_072.jpg
 
Weka kwa kiswahili ili tukuelewe, pia fafanua zaidi kujua na changamoto zake ukilinganisha na nguzo za zege au mbao/mti.
Mwisho kabisa weka na picha za kutosha, wengi hatuzijui.
Hiki ni kitu kipya kwa wengi.
 
Mbao za plastiki, mbao hizi tunatengeneza na kuuza, uzuri wa izi mbao na nguzo ni kua haziozi, haziliwi na mchwa, wala kubunguliwa, ni nzito na imara, zinatumika kawaida na sehem mbalimbali kama mbao zingine na nguzo, nguzo za zege kila baada ya miaka mi 5 lazima ufanye kurekebisha tena pengine kubomoka, lakin nguzo zetu za plastiki ni ngum na imara, mda wake wa kuishi na kuharibika ni miaka 50.
 
Here some EcoActs plastic poles 3.3inch x feet 8 cost 24,500, which are suitable for farm fencing making, gardens making and road signs, our poles they do not rot, terminate free, long lasting, strong and durable,

More info contact through 0757671874, 0676515441
Email amtatina@ecoact.co.tz

View attachment 2023017
Hakuna namna zikapatikana za rangi nzuri, zifae hata kwenye kupambia gardens. Maana hiyo rangi nyeusi ni kama imemwagiwa oil chafu
 
Hakuna namna zikapatikana za rangi nzuri, zifae hata kwenye kupambia gardens. Maana hiyo rangi nyeusi ni kama imemwagiwa oil chafu
Hapana, iyo rangi ni mteja aliamua iwe ivyo, rangi zipo nyeusi na nyeupe pia, zote n nzuri na zinadum kwa mda mrefu
 
mnauzaje weka bei tuelewe
Bei zetu zipo kama ifuuatavyo
2x2 black feet 9 cost 15,000
2x2 white feet 9 cost 17,000
4x2 black feet 7 cost 25,000
4x2 white feet 7 cost 33,000
4x4 feet 8 black cost 34,500
4x4 feet 8 white cost 40,000
3.3 inch x feet 8 cost 24,500
3.3 inch x feet 11.5 cost 36,000
5cm x 200 cm bei 18,000
 
Mikoani mnatuma ? Na je kuna cha chini cha order ? Na ni kuanzia PC ngapi ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom