Hii wawezavaa sikio la kulia au kushoto. Ulimi Haji full waweza kuongea kwa saa 11 kabla chaji haijakwisha. Unaweza kuunganisha na simu yako kwa bluetooth ktk umbali wa hadi mita 10.
Epuka usumbufu wa kujivika waya ndefu pasipo lazima. Zinafaa sana kwa watu wa kawaida, pia madereva wa magari na pikipiki ambapo waweza kuongea na mtu kwenye simu au kusikiliza audio pasi na kushikilia simu.
Inakuja na USB cable ya kuchajia. Inasapoti aina mbali mbali za smartphone isipokuwa za sumsung na iPhone.
Samahani hii ni Plantronics explorer E50 na sio E55
Kwa maelezo zaidi na namna ya kutumia angalia video hapo chini
Bei yake ni sh. 75,000
Location: Dar
,