Teh teh teh mwaka juzi walisema by November ndio mwisho, sasa sijui kuna wakati hiyo planet inapiga reverseKila mwaka inakuja haifiki.
Hili ndicho nilitaka kukomenti.Halipo kwenye maandiko.....kama unabisha, endelea kupumbazwa na hao wasioona kazi ya Muumba
Kuna taarifa zilisambaa kuna utafiti Ili kutengeneza mtambo wa kuilipua sayari hy kabla haija fika kwenye anga letu na system ya dunia ila wakagundua madhara yatakuwa makubwa kupita kiasi zaidiMwekamada utajuta kufungua huu uzi kuna watu wanashusha mitusi utafikiri wewe ndo nibiru!π
sina hakika hasa kama kweli nibiru ipo au haipo!,lkn kuna hili
kuna jitihada zozote zinafanywa kuizuia isigonge dunia..?
kwanini hao wanasayansi hawajishughulishi nalo ndo kwanza wanaproject nyengine..?
nijuavyo wangewekeza nguvu kubwa ktk kuteketeza nibiru ili kuikwamua dunia kuliko kuwekeza kwenda mars.. umesema kwamba nibiru inaweza fika mwaka 2018 au 2019 lkn haohao wanasayansi wanaproject za 2020+