Planed city,kigamboni.

Juan2006

Member
Mar 11, 2011
9
0
Kiwanja kinauzwa Kigamboni.Plot no126 Block14,ukubwa 530sq.M,Bei ni 20000000Tsh.Hakuna dalali,tuwasiliane 0753875055
 
Kiwanja kinauzwa Kigamboni.Plot no126 Block14,ukubwa 530sq.M,Bei ni 20000000Tsh.Hakuna dalali,tuwasiliane 0753875055

Yaani high density kwa million 20,000,000? Vipimo vipo hivi kwa viwanza vya makazi sq 300-600 high density (ukikohoa jirani anasikia), sq 601 -1200 (medium density) good, and sq 1201-onwards low density -excellent though wengine walionunua mashamba yao na kuamua kuyapima viwanza basi eneo la nyumba ni spacious over an acre!!! Sasa Mkuu hiyo hela mbona kubwa sana? Hata kama ina tittle but mhhhhh!!! Ngoja wenye nazo waje wakutafute.
 
Kiwanja kinauzwa Kigamboni.Plot no126 Block14,ukubwa 530sq.M,Bei ni 20000000Tsh.Hakuna dalali,tuwasiliane 0753875055
kigamboni kubwa bwana hiyo plot no 126 block 14 ipo tuangoma, kibada, muongozo au wapi exactly?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom