Kama mada inavyosema
Xmas hii ntakuwa moshi kuhesabiwa kama ilivyo ada.Huko ataangushwa ng'ombe sijui mbuzi ila damu lazima itamwagika..[emoji28]
Mwaka mpya ntakuwepo dar na wanangu kama kawaida nafikir maeneo flani ivi beach nikuikarubisha mwak 2019.
I WISH YOU ALL MERRY XMAS AND A HAPPY NEW YEAR 2019
Ebu tuambie plan yako iko vip ikibidi tualikane..
Karibun Moshi mawela kwa kisawiyo..#downtown