Namkubali Mark sana, nafuatilia YT channel yake,
Ila nilishagundua zamani kufuatilia sana vitabu kunafanya uchanganyikiwe, yaani unakuta mada moja ina vitabu 1000+, hujui kipi uzingatie kipi uache, unapata information overload.
Kwahiyo naokota vitu ambavyo naona vitabu vingi vinarudia, na vile ambavyo sijawahi kusikia kabisa au kufikiri kwa namna hiyo(vile vya kushtusha)