Pitia hapa ujue faida za sperms

Ahsante Mushi92 kwa elimu nzuri...kwahiyo kumbe mama mwenye mtoto mchanga akikaa miezi minne na siku 10 bilq kuungiliana na mume wake akaja kuingiliana na mwanaume mwingine asie baba wa mtoto, yule mtoto hatabemendeka???
 
Last edited by a moderator:
Mlikuwa na haja ya kuiquote kama ilivyo........?......

kumradhi mkuu, kosa langu!, ni mwemko tu, mfadhaiko wa macho umenipelekea kufanya hilo. macho yameshindwa kupeleka taarifa sahihi ubongoni, naomba nisamehewe kwa hilo.

kiza kikitokea mchana taarifa ya macho inaweza kukataliwa na ubongo japo yawezekana kuwa sahihi.
 
something that make sense nimekupata mkuu,nilkuwa najiuliza chanzo cha magonjwa ya ngono ni nini..Nikawa napatwa na mkanganyiko sana lakini kwa mandiko lako nimepata idea fulani hivi
 
Mijitu bwana oooh ndegu sana, ooooh nahitaji samar, ooooh kulikuwa na haja ya kukoti thed yote kisa tu mumeambiwa kuacha zinaa wazinzi bwana hawataki kabisa kuguswa shaur zenu

Wabongo wengi wanapotea kwa kutopenda kusoma. Ndiyo maana kuna msemo Ukitaka kumficha kitu mtanzania, andika.
 
Hakuna facts hapa.je msichana kama alikua akigegedwa na kijana..fulan let say miss chaga anagegedwa na tpaul kw mda wa kila wik,lakin misschaga akapata mchumba ndan ya miezi miwil kaolewa na .let say mzizi mkavu,je akigegedwa atapata marAdhi misschaga??
 
Zinaa tamu ila haifai ni uchafu
_Mleta mada ameandika kwa ufasaha sana natamani nirudie kusoma sema tu kuna watu umewatach
 
Kuna mengi ya ukweli na mengi yasiyo na ukweli kisayansi katika maada hii. Ukisema manii inapanda kwenye mazima kwa mama anayenyonyesha hiyo unaielezeaje kisayansi?
 

Nijuwavyo mimi kazi kubwa ya ACID ni kulinda sperms zisiungue na ALKALI (chumvi kali) ambayo inapatikana kwenye mkojo wa baba kwa sababu njia ni moja - sperms na mkojo zinapita hapo. Ukikumbukia chemistry ya form 1 au 2 unapata jibu kamili. Analogy ya kazi ya ACID ni msafara wa Rais JK, kabla hajapita barabarani magari yote huondolewa na pakiwa shwari ndipo anapita, vivyo hivyo kwa sperms hazipiti kabla ya ACID kumwagwa kwenye njia na kuhakikisha hakuna chumvi yeyote, yawezekana ACID inapelekwa mpaka mwisho wa safari. Ukitaka kujua chumvi ni hatari, ni kwamba ni moja ya njia ya kutoa mimba.

Pia wale wanaume wasioweza kupata watoto sababu mojawapo ni kukosa hiyo ACID hivyo mbegu kuungua njiani.

Yawezekana unachoongelea wewe ni nini wanafanya wasafisha (ACID) njia baada ya kumaliza kazi yao.
 
Nimesoma thread mwanzo mwisho na wala sijaona urefu wake kiviiiiile. Ni moja ya thread nzuri sana hapa Jf.
Hongera sana Mushi92
 
Last edited by a moderator:
Kinachotakiwa kuelezwa kisayansi ni mechanism of action sio analogy.
Nakubaliana kabisa zinaa ina madhara kiafya ya mwili na saikolojia. Ninachoona hakipo sawa ni kuelezea jambo la kisayansi kwa kutumia mawazo yasiyo na uthibitisho.
Kwa mfano kusema acid iliyoko kwenye manii ndio inawalegeza mashoga. Hii sio kweli kulegea kwao ni Psychological effect sio physical effect. Na ndio maana km unadhani mashoga wote wamelegea fikiria upya. Wengine wako ngangari km kawa.
Kwa mama anayenyonyesha labda apate ujauzito ndio mtoto ataathirika kwasababu nutrients kwenye maziwa zitapungua kwenda kwenye kumtengeneza mtoto tumboni lakini manii haiwi absorbed kwenye vaginal walls hata siku moja.
Nasema nini? Nasema matokeo ya kisayansi yaelezwe kisayansi. Madhara mengi uliyoyaeleza ni dhahiri yapo lakini hizo sababu zilizowekwa hapo hazina evidence kisayansi.
Kama unaevidence ya utafiti au kitabu ambako utafiti huo umefanyika tusaidie.
 
Saline solution, chumvi iliyoyeyushwa kwenye maji ikisukumwa ndani ya uterus ya mama ambaye ni mjamzito mimba inatoka. Hilo halina ubishi.
 
ukweli ALLAH is more than anything hiyo ilimu nimeipata vizuri vp kwenye QURANI ipo aya ya ngp na sura gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…