syano
Member
- Jul 17, 2016
- 26
- 20
Habari wakuu,
Mimi Ni kijana mchapa kazi , mwenye uwezo wa kujifunza kwa haraka, ni mwaminifu,mbunifu na mwenye mawazo chanya,
Umri ni miaka 21
Elimu yangu ni kidato cha sita
Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kwa ajili ya kutafta kibarua Ili niweze kujikimu kimaisha.
Nina uwezo wa kufanya kazi yoyote(halali),Kwan niko timamu katka afya ya mwili Na akili
Kwa yeyote anayetafta msaidizi /mwenye nafasi katika kazi yoyote, hii ni fulsa muhimu kwake Kwan hatokaa akijitia uwepo wangu..!!
Ahsanteni wakuu