Taarifa uliitoa kwa DED kwa barua au ana kwa ana?Kama ni kwa barua,mara nyingi majibu hasa ya uhamisho huwa yanatolewa na watu wa pembeni kwa nguvu ya mkuu wa idara yako.Kama hujawahi kuongea na DED moja kwa moja,tumia kila mbinu uonane naye.Uhamisho (mkoa kwa mkoa) ni haki ya mtu baada ya kuthibitishwa kazini.Wife alihama kutoka mahali kwa hatua hizo.