Pita hapa mkumbushe magufuli chochote

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,641
6,694
Wanabodi

Mengi yaliaidiwa na mkulu kipindi cha uchaguzi na mpaka sasa kwa amefanya kiasi kwa upeo na uwezo wake!

Inawezekana kuna mengi aliahidi na huenda mengi yameibuka na yanahitaji serkali ya awamu ya hii kufanya


Mkumbushe hapa mhemishiwa magu labda kasahu

Mimi namkumbusha, Magufuli fungulia ajira za walimu wote kwani tanzania ni kubwa na inawahitaji kwa sasa
 
sisi vijana tumemaliza vyuo anuai ila bado 2po mtaan na hatuna ajira.......na kuna kaka na dada zetu wajasiriamali walipania milion 50 kwa kila kijiji kupanua mitaji yao na masoko.
halafu mkuu naulizia mahakama ya mafisadi cjackia kuna muhujumu uchumi kashikwa na hatia vp hapo au propaganda.......Mungu ibariki Tanzaniaaaaaaa....
 
Namkumbusha ahadi yake ya kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi ili watsnzania masikini tuweze kujijengea vijumba vyetu vya kuishi tuache na vibanda vya tembe! Alilisema hili akiwa uwanja wa Jamuhuri Morogoro. Asidhani tumesahau
 
Back
Top Bottom