Mkuu nakushauri kama mfuko unaruhusu kanunue block mpya inacheza elf 90dukani kwa mo dewji round about ya kwenda sentro polisi na mataa ya kamata ndio kuna duka lake la spea na bodaboda mpya hapo nadhani itakusaidia sana kuliko kuhangaika na kutafuta ring piston