Duniani kunamambo ~ dito voice
Kweli dunia inamambo tena toka kitambo. Pisi inayojiita kali ina-date na shamba boi kutoka Muleba, njemba haikijui choo. Haja zote inamaliza mtoni yani tiiiiiiiiiii.............. then pwaaaaah ndani ya maji ya mto.
Swali kwenu wadada wa Jf, je unaweza date na jemba inayokata gogo mtoni?