Yani mimi niache kutafuta pesa nipoteze muda kuangalia movie walizoigiza wanaume wenzangu WE MTOTO PIMBI KWELI.Sibishan na kende hata sku1 sabab najua hujui kitu...u know me..i dont argue cheap
Naanzaje kubishana na watu wanaoangalia series za kikorea au bongo muvi au muv za kihind...wew tuliza kipago hapo hapo
Bila john dep..hii movie itapoteza mwelekeo..john ni jack na jack ni john..full stopYeah nimeiona ila wanasema kuna uwezekano wa kumreplace johhn depp
itakuwa pigo kwa mafans wa depp
Sio pigo kwa fans bali ndio mazishi ya Pirates of Caribbean, kuna Actors were born to be in the exactly character, mfano ni huyo John was born to be Jack Sparrow au Angelina was born to be Maleficent au Keanu was born to be John Wick au Chris was born to be Thor,Yeah nimeiona ila wanasema kuna uwezekano wa kumreplace johhn depp
itakuwa pigo kwa mafans wa depp
Inshort kuna characters ukizi-replace tu umepoteza soko la movie husika. Mfano Lara craft baada ya kuondoka Angelina Joel mimi binafsi nime-loose appetite na ile movie mpyaSio pigo kwa fans bali ndio mazishi ya Pirates of Caribbean, kuna Actors were born to be in the exactly character, mfano ni huyo John was born to be Jack Sparrow au Angelina was born to be Maleficent au Keanu was born to be John Wick au Chris was born to be Thor,
Hao watu ni irreplaceable.
naipenda kipande wanachopigana na will turner ni story badala ya ngumina kuna sehemu captain anaelezea kuhusu island
anasema have you not heard the stories? Captain Barbosa and his crew of miscreants sail from the dread islade Muerte, its and island that cannot be found, Except by those who alrady know where it is
mi wakati naangalia extraction nikawa naiwaza eti aipate tu nyundo yakeSio pigo kwa fans bali ndio mazishi ya Pirates of Caribbean, kuna Actors were born to be in the exactly character, mfano ni huyo John was born to be Jack Sparrow au Angelina was born to be Maleficent au Keanu was born to be John Wick au Chris was born to be Thor,
Hao watu ni irreplaceable.
hata spider wamenikera ila toby ndio tunampenda kuliko tobey na tomInshort kuna characters ukizi-replace tu umepoteza soko la movie husika. Mfano Lara craft baada ya kuondoka Angelina Joel mimi binafsi nime-loose appetite na ile movie mpya
This applies kwa John Deep (Jack Sparrow), Bruce Wills (Red 1 & 2), Tom Cruise (M.I series) and the likes
hata spider wamenikera ila toby ndio tunampenda kuliko tobey na tomInshort kuna characters ukizi-replace tu umepoteza soko la movie husika. Mfano Lara craft baada ya kuondoka Angelina Joel mimi binafsi nime-loose appetite na ile movie mpya
This applies kwa John Deep (Jack Sparrow), Bruce Wills (Red 1 & 2), Tom Cruise (M.I series) and the likes
Nawahusudu sana hawa jamaa hasa huyo mwembamba na jicho lake linalodondoka dondoka
Jack Sparrow: Take what yu can!master Gibbs
huyu ndio rafiki wa kweli wa captain jack
Hahaha.mzee utakua unatafta pesa kwa shida sana..skuhiz hela tunatumia akil zaid kuliko nguvu..sasa shule tumeenda fanya nn.Yani mimi niache kutafuta pesa nipoteze muda kuangalia movie walizoigiza wanaume wenzangu WE MTOTO PIMBI KWELI.
Wewe endelea kuangalia movie kwa shemeji ukigombania remote na dada yako.
Kazi kujikweza kwa kazi walizofanya wanaume wenzako eti "naangalia movie za best directors tu" sasa mwanaume mwenzako yeye ni best director wewe ni best kwenye nini? au best kwenye ULOFA?
Jack sio mjinga hata kidogo. Bro utakuwa unaangalia hizi muvi kupitia akina rufufu au akina dj Mark. Yaan nikimtoa MICHAEL SCOFIELD, PROFFESOR anaefatia ni JACK SPARROW kwa characters wanaotumia akili sema jack masihala mengi na hapendi tumia nguvu nyingi kufanya mission yake.Barbosa: Thank you Jack
Sparrow: You're welcome
Barbosa: Not you, we named a monkey Jack.
Mipango ya Jack yote hua inanufaisha wengine Jinga sana. Ninazo zote 5 nasubiria mwakani mwendelezo kama itatoka au mpaka 2023.
Ila kuna CGI na VFX za kutosha tuache kulaumu wabongo muvi zote tano zimechezewa Studio