Pirates of Carrebean

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,560
Reaction score
41,523
Naangalia hapa zaidi ya mara tano kila moja
Guys wenzetu wapo mbali sana sana
Hizi ni mfululizo wa movie zinazomuhusu captain Jack sparrow
zipo tano
kinachonivutia walioandika script hawa jamaa wamenifanya niwe nairudia kila napopata nafasi kuziangalia
nikipata mwanamke ninayempenda kama navyopenda hizi movie namuoa
starring mkuu ni Captain Jack Sparrow jamaa kawauza watu sana humu haswa will turner na elizabeth swan
ila kiboko yake ni captain Barbosa huyu ndio kiboko ya sparrow
kitu cha kipuuzi movie zote tano sparrow kamùua mtu mmoja tu naye atafufuliwa
kuna kiboko ya wote hao anajiita davy jones huyu muangalie tu disney wanatakiwa wadevelop history yake huyu ndio mfano wa mtu akipenda anapenda kweli

malengendary meli yetu inaitwa black pearl
wengine wanaipenda flying dutchman
angalia humo umuone captain jack sparrow na barbosa wakianza kubishana kaa pembeni maana wana utani wa jadi

isije kuwa mwanangu wa kike nikamwita calypso sijui

 
[emoji23][emoji23]uyu jamaa Jack nakupali Sana hii kazi aliyo fanya kwenye hiyo movie ya pirates
 
'The Curse of the Black Pearl' hii ndio niliipenda kati ya zote...

Kuna uwezekano wakatoa 6 na 7
ila dead man's chest na at world end
davy jones alikuwa best actor kuliko hata sparrow na barbosa
ila ya dead man tells no tales or salzar revange wametuchanganya wapi alipopata compas wakati calypso aliclaim alimpa yeye
 
Yeah nimeiona ila wanasema kuna uwezekano wa kumreplace johhn depp
itakuwa pigo kwa mafans wa depp
 
Nilionaga X yaan wale wale washiriki wamechexa X tena katika mameli yao na jack sparow pia.Sijuwi walitafuta walitafuta waigizaji wakawavisha zile sura ama vipi.Siajwahi kuiona tena ile x.Sema mwamba jack sparow mi fans wake sana.
 
Nilionaga X yaan wale wale washiriki wamechexa X tena katika mameli yao na jack sparow pia.Sijuwi walitafuta walitafuta waigizaji wakawavisha zile sura ama vipi.Siajwahi kuiona tena ile x.Sema mwamba jack sparow mi fans wake sana.
mnachanganya movie nyinyi
pirates of carrebean unaangalia na mtu yeyote
ila ya kuitwa pirates ndio kubanduana tu
 
Ni kiki tu kutafuta attention, hawawezi kumreplace John hata wao sio wajinga wapoteza mpunga toka kwa Fans.
Ni sawa umreplace RDJ kama Iron man muvi zingekosa mvuto. Ndio maana jamaa alikua anapandisha dau kila muvi hadi 70M$ per movie ila hawakumtoa
najiuliza siku Rdj na Johhny Depp wakikutana kwenye movie nani ataongea ujinga maana RDJ hana akili ila sio kwa ulevi wa depp
 
Hii ya john dep..ni mbaya sjawai ona.kazingua kwel humu...yaan actin yake ya masihara sijaipenda kabisa
 
Kuna moja inaitwa pirates of stagnant aisee ile ni balaa haina tofauti na porn video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…