B BUCHANA Member Joined Feb 4, 2012 Posts 30 Reaction score 4 Apr 2, 2012 #1 Ya Arumeru na Kirumba yanatia moyo. Tunasonga mbele!
R Rebby New Member Joined Apr 2, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Apr 2, 2012 #2 tupo pamoja peopleeeees Poweeeeeer
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,781 Apr 2, 2012 #3 BUCHANA said: Ya Arumeru na Kirumba yanatia moyo. Tunasonga mbele! Click to expand... Mbona unazisahau Kiwira na Songea Mkuu? Kote huko ni Nguvu ya umma kazini! Watasaga meno safari hii!
BUCHANA said: Ya Arumeru na Kirumba yanatia moyo. Tunasonga mbele! Click to expand... Mbona unazisahau Kiwira na Songea Mkuu? Kote huko ni Nguvu ya umma kazini! Watasaga meno safari hii!
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,454 Apr 2, 2012 #4 BUCHANA said: Ya Arumeru na Kirumba yanatia moyo. Tunasonga mbele! Click to expand... Mbele zaidi, watu rahaaaaaaaa!. Wao wana hela sisi tuna Mungu!... Wamesahau wao na hela vyote ni mali ya Mungu
BUCHANA said: Ya Arumeru na Kirumba yanatia moyo. Tunasonga mbele! Click to expand... Mbele zaidi, watu rahaaaaaaaa!. Wao wana hela sisi tuna Mungu!... Wamesahau wao na hela vyote ni mali ya Mungu