Baada ya hapo ningependa kuona wahandisi wetu wakibadilisha mabomba yote chakavu na wabadili miundo mbinu ya mabomba hayo kwani mengine yamejengewa nyumba juu yake hasa maeneo ya Sinza.