Pingamizi la CCM kesi ya ubunge nyamagana latupwa

leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
2,583
3,182
Pingamizi la kutosikilizwa kwa kesi ya ubunge jimbo la Nyamagana leo limetpiliwa mbali na mahakama kuu kanda ya ziwa mjini mza leo
Pingamizi hilo liliwekwa na wakili wa mlalamikiwa katika kesi hiyo S Mabula mbunge wa nyamagana CCM dhidi ya E Wenje CHADEMA. Kesi hiyo sasa kuanza kuunguluma jtatu.
Baadae kundi kubwa la watu liliingia mjini kushangilia uamuzi huo.
 
Back
Top Bottom