Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
hivi mpaka wananchi wa kawaida wanaperfomance indicators za mawaziri na Kikwete hana? Kikwete atoswe hajui majukumu yake.
haswa. Wabunge wanatuchanganya tu. Tatizo ni Rais na chama chake. Jairo ya Rais, epa ni Rais, richmond ni Rais, s. Packages ni Rais, umaskini ni Rais.kuteua ni rais. Pinda ni bangusiro nyingine.
Kweli kabisa.
Kama lowasa alikua ni tatizo basi pale alipo achia ngazi
matatizo yasinge ongezeka zaidi kama yalivo hivi sasa.
Kuna kigogo anayehusika na kuyumbisha nchi, hawa ni matawi tu. Sitegemei katika familia mtoto afanye kitu kinyume cha matakwa ya mkuu wa kaya. Yaliyompata Edward Lowasa ndiyo yanayowapata hawa sasa hivi. Kama Lowasa aliharibu nchi, je baada ya kuachia ngazi nini kinaendelea? Mbona mbaya zaidi kuliko wakati wa Lowasa katika ufujaji wa mali ya umma na usimamizi duni kabisa katika shughuli za serikali na mali ya umma?
Mnyororo uliochoka hukatikia kwenye kiungo dhaifu kuliko vyote. Haya ndiyo tunayoshuhudia sasa hivi.
Kheri ale m2 mmoja kuliko kuachia kila tomy and gerry.....