Pinda Mchuchuma uliweza vipi DOWANS isiwezekane!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda Mchuchuma uliweza vipi DOWANS isiwezekane!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Arafat, Feb 24, 2011.

 1. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa waziri Mkuu swali la nyongeza:

  1. uliweza kuchukua Mchuchuma kwa huyu Jamaa hapa mpaka sakata likatulizwa?

   [​IMG]

  2. Naimekuwaje umeshindwa kwa hawa hapa chini kuwanyang'a Dowans yetu, maana Mali ya wizi ni mali ya Umma

  [​IMG]

  Tupo nyuma yako husiogope, husiwaogope.
   
 2. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,361
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaongelea Kiwira coal mine au Mchuchuma?, kwa ninavyojua mimi Mchuchuma imeshauzwa kwa Tajiri mmoja wa Kihindi simkumbuki jina ambae nae amshawaalika wachina kufanya mambo
   
Loading...