Anaweza kusema pia kuwa "katika uwaziri mkuu wangu huu, nimetumika vibaya kiliko na mapenzi yangu. Kuliko na yaliyokuwa mataajio yangu. ....... Na kwa vile nimetumia jitihada zangu zote kumshauri vema kakaangu juu ya uendeshaji wa serikali yake na kwakuwa hakunisikia na hanisikii hata kwa tukii la jana, jamani LIWALO NA LIWE nimeamua kujivua gamba.