mie nilidhani pale nyuma ya fun city kumbe toa ngoma!!
Hon Pinda amenunua heka 2 maeneo ya Toangoma na kuna watu wanajenga ukumbi wa kufa m2, mafundi hawalali usiku na mchana wanajenga pale,fundi mkuu alichezesha taya na king kong III na kunidodosa kwamba anajenga kitu kama cha rizmoko (DarLive), Heka hizo zimenunuliwa zaidi ya mil 45!
Nawasilisha
pinda sharobaro, labda anajenga mwanae Edward, maana siku hizi watoto wa vigogo ndo matajiri
Tu-eka tu-wili tu?! Mbona mimi nina HEKTA nane hapa Izyika Mbozi na hakuna anayenishangaa!
Mkuu mbona povu sana? We ni Edward yupi? Huyu huyu au Edward Peter M.K.Pinda?
Mbona hakuna mapovu hapa kaka am juc trying to move u guys from majunguz n Fitina afterall "the end justifies the means"