Pinda ashindana na Riziwan: Naye anajenga Tuangoma Live | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda ashindana na Riziwan: Naye anajenga Tuangoma Live

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Jun 17, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hon Pinda amenunua heka 2 maeneo ya Toangoma na kuna watu wanajenga ukumbi wa kufa m2, mafundi hawalali usiku na mchana wanajenga pale,fundi mkuu alichezesha taya na king kong III na kunidodosa kwamba anajenga kitu kama cha rizmoko (DarLive), Heka hizo zimenunuliwa zaidi ya mil 45!

  Nawasilisha
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huyu ni mtoto wa mkulima, au mtoto wa sharobaro? Ama kweli Pinda ana sura nyingi
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ni mtoto wa sharobaro!!!
   
 4. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  pinda sharobaro, labda anajenga mwanae Edward, maana siku hizi watoto wa vigogo ndo matajiri
   
 5. H

  Hodarism Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanatusaidia 2015 ni kutaifisha mali zilizopatikana kifisadi.Hivyo tuwaombee wajenge hapahapa
   
 6. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Keshaona maigizo yanamrostisha tu wakati wenzake wanapeta. Halafu ukizingatia ulaji wa nyinyiemu bado una takribani miaka miwili tu, namhimiza awatengenezee security watoto wake kabla safari ya Segerea haijaiva.
   
 7. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Uwekezaji wa kawaida tu huo,,bora yupi sasa yule anayeficha hela nje ya nchi hata hazisaidii lolote hapa?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ameleta matofali kama elfu 30(mil30) kwa ajili ya fence kwanza!
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nampongeza kwa hilo kwani anasaidia kutoa ajira kwa vijana kupitia project yake ya Chuo(Mkulima Vocational Training Centre) na pia hii Tuangoma Live anayoijenga,safi Sana pinda!!
   
 10. A

  ADK JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,147
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mbona nasikia dar live ni erik wa shigongo sasa king anasema ni ya riz moko nabaki hoi mwenzenu
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tuangoma ipo mkoa gani?
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ulitaka itamkwe ni Riz1? Elewa ni ya Sbigongo hakuna shida.
   
 13. M

  Mgelukila JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yangu macho!
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,195
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mzee wa Rula ni njia kama unaelekea kigamboni kupitia barabara ya mbagala mpaka kongowe unakunja kushoto ukienda kama 2 km unafika eneo la Tuangoma linajengwa kwa kasi ya ajabu sana viwanja vyote vimepimwa
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  kuna viongozi wananunua vijiji vizima, wapo walionunua heka 20,000, kwa hiyo PM kununua heka 2 sioni kama ni tatizo. Tuweni fair hicho kiwango PM anamudu bana.
   
 16. B

  Bob G JF Bronze Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Akina Maige wapo wengi, sasa habari za uwekezaji za Alie kuwa mtoto wa mkulima zimeanza kutoka kwa kasi, ngoja tuendelee kusubiri
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  shigongo ni pazia tu
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mkuu ADK endelea kusikia hivyo hivyo kama Mzee wa Rula anavyokwambia.
   
 19. King2

  King2 JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Dar Live kumbe ni ya Riziwani.
   
 20. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,377
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  wacha nijenge men!
   
Loading...