Pinda ashangazwa na kauli ya mwanasheria mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda ashangazwa na kauli ya mwanasheria mkuu

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by kapotolo, Jan 25, 2011.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Waziri Mkuu Mizengo Pinda amemshangaa Mwanasheria mkuu kwa kusema kauli aliyotoa kuhusu Katiba mpya kuwa ni maoni yake binafsi. Amesema kauli anayotoa kiongozi yoyote akiwemo yeye mwenyewe Pinda haiwezi kamwe kuwa kauli yake binafsi. (Mlimani TV)

  Namuomba Mh Mwanasheria mkuu aahidi kutorudia tena kutoa kauli zake binafsi. Tunajua alikuwa anajipendekeza lakini akumbuke akauli zake ni za serikali hata awe anajikombakomba.

  Ni hayo tu.
   
 2. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hivi mtendaji wa serikali anapotoa tamko akitumia cheo alichonacho serikalini tena akiongea kwa niaba ya serikali inakuaje akaita maelezo yake ni kauli binafsi,,,,, ina maana serikali ni kama kikao cha kahawa au cha walevi ambapo kila mtu akijiskia kusema kitu anajiibukia tu?
   
 3. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hivi mwanasheria mkuu wa serikali ni nani?
   
 4. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo PM nae anashangaa kama sisi wa mtaani.....then what????
   
Loading...