Pima macho yako

mankachara

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
6,161
Reaction score
3,496
Nipe tofauti kati ya hizi picha
 

Attachments

  • PhotoChooser-2253a200-4018-4ad1-b094-77beeec20f11.jpg
    39.1 KB · Views: 735
Tofauti ni kwamba moja iko kushoto na nyingine iko kulia.
 
puwa ya aliyekaa upande wa kulia kubw kuliko ya wakushoto
 
Ukiangalia picha ya upande wa kushoto ubavu wa kushoto jezi ina kama background ya rangi ya bluu angalipo upande wa kulia ubavu huohuo wa kushoto jezi ina rangi inayoendana na upande mzima(nyekundu)
 
Upande wa kushoto mkononi(kwenye kaupenyo) buluu inaonekana upande wa kulia buluu haionekani na badala yake inaonekana nyekundu
 
...kushoto lionel kulia messi...
 
Ukiangalia picha ya upande wa kushoto ubavu wa kushoto jezi ina kama background ya rangi ya bluu angalipo upande wa kulia ubavu huohuo wa kushoto jezi ina rangi inayoendana na upande mzima(nyekundu)

Hata mie nimeona hapo hata kabla ya kusoma comment yako
 
Ukiangalia picha ya upande wa kushoto ubavu wa kushoto jezi ina kama background ya rangi ya bluu angalipo upande wa kulia ubavu huohuo wa kushoto jezi ina rangi inayoendana na upande mzima(nyekundu)

unaonaa, hongera sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…