Karibuni Pilipili iliyopikwa vzr ktk mazingira safi na kua packed ktk vifungashio salama kwa afya ya mlaji...ipo ya 1000 na 3000 pia nkikuletea wanchangia 1000 ya nauli...napatikana ubungo msewe
0718632033
Karibuni sana na asante
Hongera sana, napenda watu wanaobhutu kama wewe, jitahidi upate idhini ya Satisfying Authority a.k.a TBS, Itakaa vizuri hiyo.Habari za mchana wapendwa.
Karibuni Pilipili yenye radha nzuri inayoongeza hamasa ya kula chakula...nimeipika katika mazingira safi na kuipack katika vifungashio salama kwa afya ya mlaji...ipo ya 1000 na 3000 na nikikuletea wanichangia 1000 ya usafiri
Napatikana ubungo Msewe
0718632033
KARIBUNI SANAView attachment 355333
Asante kushukuru, unauzia Msewe tu au kuna maduka unasupply ?Asante sana...barikiwa
Liendeleze mkuu.Ndiyo tangazo limeishia hapo mkuu??
Mwenyezi Mungu mwingi wa baraka akubaliki ndugu kijana , abariki kazi ya mikono yakoHapana na supply kwenye baadhi ya restaurants tu na mteja akihitaji nampelekea mpendwa
Kwa idhini ya nani kakaLiendeleze mkuu.