Pilau la nyama

Pilau la nyama

nakwede97

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2021
Posts
2,563
Reaction score
8,092
Jana nikajitutumua nipike pilau eeh waah ni simple sana hakuna makolokolo mengi chap Kwa haraka Hivi ni viungo vyangu Kuna mchele nyamavitunguu vitatu vikibwa chumvi vitunguu saumu pamoja na pilau masala picha zinajieleza Kila kitu

FB_IMG_1759750320434.jpg
FB_IMG_1759750304793.jpg
FB_IMG_1759750291735.jpg
FB_IMG_1759750286277.jpg
FB_IMG_1759750282164.jpg
FB_IMG_1759750275989.jpg
FB_IMG_1759750271466.jpg
FB_IMG_1759750266597.jpg
FB_IMG_1759750259801.jpg
FB_IMG_1759750254147.jpg
FB_IMG_1759750247495_1.jpg
 
Jana nikajitutumua nipike pilau eeh waah ni simple sana hakuna makolokolo mengi chap Kwa haraka Hivi ni viungo vyangu Kuna mchele nyamavitunguu vitatu vikibwa chumvi vitunguu saumu pamoja na pilau masala picha zinajieleza Kila kitu

View attachment 3484436View attachment 3484438View attachment 3484439View attachment 3484440View attachment 3484441View attachment 3484442View attachment 3484443View attachment 3484444View attachment 3484445View attachment 3484446View attachment 3484447
Hawa ndiyo wenyekazi hiyo si wanaume. CC Mwachiluwi
 
Sema mapishi yanatofautiana, mimi hpo lazima niweke njegere, nyanya halisi na ya kiwandani, nazi, paprika, ukwaju kidogo, pilipili manga, uyoga kwa mbali na asali.
 
Hongera masta....

Mm pilau napenda nyama ipikwe kama roast pemben....ama la kama nyama ni nyingi iwekwe kwenye pilau, pia roast lipikwe pembeni 😋
 
Jana nikajitutumua nipike pilau eeh waah ni simple sana hakuna makolokolo mengi chap Kwa haraka Hivi ni viungo vyangu Kuna mchele nyamavitunguu vitatu vikibwa chumvi vitunguu saumu pamoja na pilau masala picha zinajieleza Kila kitu

View attachment 3484436View attachment 3484438View attachment 3484439View attachment 3484440View attachment 3484441View attachment 3484442View attachment 3484443View attachment 3484444View attachment 3484445View attachment 3484446View attachment 3484447
Mpaka nimesikia njaa, linavutia sana 😍😍😍
 
Sema mapishi yanatofautiana, mimi hpo lazima niweke njegere, nyanya halisi na ya kiwandani, nazi, paprika, ukwaju kidogo, pilipili manga, uyoga kwa mbali na asali.
Hiyo inakuwa pilau au dawa ya kutibu chunusi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom