PIKIPIKI ZA MKATABA NMB

PIKIPIKI ZA MKATABA NMB

Print Fly

Member
Joined
Oct 12, 2021
Posts
50
Reaction score
48
Wakuu habari za majukumu
Nimatumaini yangu mko PowAhh. Naomba kupata mwongozo kwa yoyote mwenye kufahamu process na mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze pata pikipiki za mkataba kutoka NMB maana ninahitaji kupata ili nitumie katika biashara yangu.
 
Umesiki wapi NMB wanatoa pikipiki z amkataba au unauliza unataka kujua kama wanatoa hizo pikipiki
 
Back
Top Bottom