pikipiki ya mizigo yatairi tatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pikipiki ya mizigo yatairi tatu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kimpango, Jan 27, 2012.

 1. kimpango

  kimpango JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 80
  jamani nimekopa kiasi cha pesa nimeona nifanye biashara ya usafirishaji mdodo mdogo wa mizigo hapa Iringa kwa kutumia pikipiki ya miguu mitatu .... sasa nitapata wapi pikipik hiyo na bei zake ?
   
Loading...