majuto mperungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 394
- 120
Wakuu ninataka kununua pikipiki sanlg or fekon mpya naomba mwongozo wenu kwa bei na aina ili nikiingia kkoo nisipigwe na wajanja wa mujini

Sanlg laki nane na nusu hii ni kila kitu mpaka bima, fekon ni laki saba na nusu
muongo wewe

Fekon na Sanlg ni shilingi 1,700,000 (milioni moja laki saba) kwa Dar es Salaam.
Mkuu fekon na sanlg haziwezi hata siku moja kulingana bei kutokana na umadhubuti wake
sanlg 1,870,000 fekon 1,700,000 izo ndio bei zilivyo mimi kwngu kununua boxer na sanlg bola sanlg kwani boxer sio yaukweli kivyo kama watu wanavyo sema kwani mimi nafanya biashara iyo mwaka sasa mkuu lakini ayo maono yangu mimi
sanlg 1,870,000 fekon 1,700,000 izo ndio bei zilivyo mimi kwngu kununua boxer na sanlg bola sanlg kwani boxer sio yaukweli kivyo kama watu wanavyo sema kwani mimi nafanya biashara iyo mwaka sasa mkuu lakini ayo maono yangu mimi
Sanlg laki nane na nusu hii ni kila kitu mpaka bima, fekon ni laki saba na nusu
mkuu zinapatikana wapi hizo je ni mpya kabisa hasa naitaji hata nami nikupate wapi mkuu pls pls
Nimeona wafanybiashar wengi wanatumia FEKON sijui kwa nn
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums