Pikipiki inauzwa..
Model: Loncin 110cc
Location: Kigamboni
Condition: Used na inafanyiwa maintenance kwa wakati
Card yake utapatiwa
Price: 800k
NB: Ukihitaji itabidi ukaichek Kigamboni maana nimehama kikazi
Me nipo Zanzibar ila naitaka hiyo kama hadi J2 week hii itakuwa hujapata mteja please let me know maana nitakuwa na pesa siku hiyo insha'Allah.Utanitumia namba Namba yako Dm