Habari
Husika na kichwa hapo juu, Kwa yoyote anae hitaji pikipiki, Bei ni Laki 9 na Nusu, Tafadhari tuwassiliane kwa namba ifuhatayo +44 7452 925919 WhatsApp.
Haijawai kutumika kama bodaboda, Inanyaraka zote za msingi, Haidaiwi, Imetumika kwa kipindi cha muda wa mwaka mmoja. Eneo ilipo ni Wazo hills
sikushangai hujui ku-upload picha, akili ndogo kama bwana mkubwa wako, hivi kwa akili yako ya kuendea maliwatoni, biashara inatangazwa hivyo? You did not mention the brand of your bike, km covered
sikushangai hujui ku-upload picha, akili ndogo kama bwana mkubwa wako, hivi kwa akili yako ya kuendea maliwatoni, biashara inatangazwa hivyo? You did not mention the brand of your bike, km covered