Pikipiki inauzwa laki 8

Pikipiki inauzwa laki 8

yaani kujibu tu kama pikipiki ina namba mpya mpaka upigiwe simu?...hahaaaa
 
Ukisikia kuuziwa mbuz kwa gunia ndio hii,hana maelezo ya kumshawishi mteja
 
Nikisema inayo namba mpya ndo utapiga ama vipi na kama una Nia nimesema utapiga tu simu kuuliza wenye Nia wameshapiga simu sana kuuliza ila ambao mna akili za ubishi mnaendelea kujibishana haya endeleeni kubwabwaja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom