Pikipiki inauzwa bado mpya

Rich Forever

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
467
Reaction score
469
Nauza pikipiki bado mpya kabisa imepaki ndani tu ipo kwenye hali nzur sana ni automatic

Pikipiki ipo Msasani fitness

Bei ni dola 650.





Simu namba

0719590756
 
1 DOLA= 2,318.86 TSH
650 DOLA = TSH. 1,507,259.

KAMA UNACHUKUA 1,500,000/= Kamili njoo nikupe nipo Katavi, ila iyo 1,507,259 mimi sina

Nipo Dar mkuu kama ungekuwa huku fresh
 
Na mm spendi speed maana sitafuti ya mashindano just for my own use
Mkuu ndo pikpik ninayoikubali hii ata kiusalama tu unajiamini,vione hivyo vina nguvu balaa vinanyanyua gunia za mahindi hivyo

Hah kweli vina nguvu sana... wewe upo wapi nikutafutie
 
Kuna mpemba mmoja aliniambia hzi vespa zinakimbia Sana zaidi ya boksa....nilibaki kucheka tuu
wale jamaa wa kuvusha magendo kule Bunju( na Namanga) ni mwendo wa vibao vya mbuzi tu,
Boksa ikakae hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…