Pikipiki inahitajika (San LG)

Pikipiki inahitajika (San LG)

Joined
Aug 4, 2014
Posts
62
Reaction score
3
Jamani nahitaji pikpiki aina ya sun lg isiyo na tatizo bei isizidi laki 6

Mawasiliano 0752430195
 
Nauza Kiwanja Kivule njiapanda ya shule ukubwa 50/25 bei ml 7 nichek 0779545500
 
Aisee yaani wewe huna kazi zaidi ya kuvamia post za watu kila kukicha.Unaboa ile mbaya,
Unauza kiwanja kama vile cha wizi kwa kulazimisha kila post,nyingine hata hasihusiani na mambo hayo kabisaa.Hembu kuwa mstaarabu na jifunze kwa wenzio.
 
Afadhali umemwambia ukweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom