K Kashishi yetu JF-Expert Member Joined Mar 22, 2014 Posts 3,634 Reaction score 3,944 Jun 14, 2014 #1 Naomba msaada jamani faini ya pikipiki kuingia mjini ni sh. ngapi? kwa Ilala? na inalipiwa wapi? Maana yangu imekamatwa naambiwa laki moja nilipie.
Naomba msaada jamani faini ya pikipiki kuingia mjini ni sh. ngapi? kwa Ilala? na inalipiwa wapi? Maana yangu imekamatwa naambiwa laki moja nilipie.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,803 Reaction score 49,109 Jun 14, 2014 #2 lipa tu mkuu mpe hamsini tu
GOOGLE JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 1,889 Reaction score 1,127 Jun 14, 2014 #3 Kashishi yetu said: Naomba msaada jamani faini ya pikipiki kuingia mjini ni sh. Ngapi?kwa ilala?na inalipiwa wapi? Maana yangu imekamatwa naambiwa laki moja nilipie. Click to expand... elf15 tu unapata na risti ya malipo ya manispaa!
Kashishi yetu said: Naomba msaada jamani faini ya pikipiki kuingia mjini ni sh. Ngapi?kwa ilala?na inalipiwa wapi? Maana yangu imekamatwa naambiwa laki moja nilipie. Click to expand... elf15 tu unapata na risti ya malipo ya manispaa!