Hamis Juma
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 2,229
- 2,268
Nahitaji pikipiki isiyozidi cc125, hasa mpya. Ni wapi ninapoweza kuipata kwa dar na aina zipo ni bora?!
Nenda maeneo ya kariakoo ndo utapata aina tofauti tofautiNahitaji pikipiki isiyozidi cc125, hasa mpya. Ni wapi ninapoweza kuipata kwa dar na aina zipo ni bora?!
Asante, nipo huko naangalia angaliaNenda maeneo ya kariakoo ndo utapata aina tofauti tofauti
Nina vipesa vya mahindi nilivyouza mpepai huko, nikaona nije mjini "kutafuta" hiyo pikipiki... Sio wote wazoefu ama wanajua vile unavovijua wewePikipiki nazo ni za kutafuta mkuu?